Saturday, September 9, 2017

PMO PHOTOS- MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa  inayolima zao la pamba nchini kwenye makazi yake mjini Dodoma Septemba 9, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba, watatu kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo na wanne kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment