Viongozi
waliopishwa wakila Kiapo cha Uadilifu –Ikulu jijini Dar es Salaam. wakwanza
kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Tixon Tuyangine
Nzunda, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Rajab Omar Luhwavi, Katibu Tawala wa
Mkoa wa Rukwa Benard Mtandi Makali,
Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro Clifford Katondo Tandari pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geoffrey Idelphonce
Mwambe
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Rajab Omar
Luhwavi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Benard
Mtandi Makali kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Tixon
Tuyangine Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Clifford
Katondo Tandari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Tanzania
nchini Msumbiji Rajab Omar Luhwavi mara baada ya kupiga picha ya pamoja Ikulu
jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)
No comments :
Post a Comment